Walioenda kushuhudia ajali wagongwa ,baadhi wapoteza maishaWatu ambao idadi yao haijafahamika wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa katika ajali iliyotokea eneo la Sindeni Wilayani Handeni Mkoani Tanga, usiku wa kuamkia leo Jumatano Machi 16, 2022

-

Mkuu wa Wilaya ya Handeni (DC), Siriel Mchembe amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo akisema idadi kamili ya vifo na majeruhi bado haijafahamika

-

Taarifa za awali zinaeleza Toyota Hiace ilipasuka tairi na kupotea njia, na baada ya hapo wananchi walijitokeza kuangalia ajali, ikatokea Toyota Coaster na kuwagonga

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Jiunge nasi :

Usipitwe na kitu