Matukio katika picha kinachoendelea Chato kwene kumbukumbu ya hayati Rais Magufuli

Hizi ni baadhi a picha za matukio mbalimbali yanayoendelea mkoani geita wilayani Chato ambapo zinawaonesha viongozi na baadhi ya raia waliofika kwa ajili ya maombi maalumu ya kumuombea .


Pichani ni viongoozi wastaafu wa serikali,kushoto ni aliekuwa makamu wa rais awamu ya nne Dr. Ghalib Bilal,wanayemfuatia ni Jaji Joseph Warioba na Mh. Mizengo Pinda waliokuwa mawaziri wakuu, wa kwanza kulia ni Mh. Anne Makinda aliewahi kuwa Spika wa bunge.

Baadhi ya wanakwaya wakitumbuiza katika ibada maalumu ya kumuombea hayati Dr. John MagufuliWa kwanza kushoto ni mkuu wa majeshi Tanzania Venance Mabeyo,katikati ni mkuu wa jeshi la polisi nchini Simon Sirro

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Jiunge nasi :

Usipitwe na kitu