Breaking news,ajali yaua sita TangaKamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Safia Jongo amesema watu sita wamefariki dunia na wengine kadhaa wamejeruhiwa baada ya gari aina ya fuso walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kutumbukia kwenye korongo katika eneo la barabara ya Soni/Mombo wilayani Lushoto mkoani humo.


Akizungumza na waandishi habari leo Jumanne Machi 29, 2022 Kamanda Safia amesema ajali hiyo imetokea leo asubuhi.


Tunaendelea kufuatilia kwa karibu juu ya kinachoendelea katika tukio hili

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Jiunge nasi :

Usipitwe na kitu