Mgogoro wa corona, Tunisia yalitaka Baraza la Usalama la UN kupasisha azimio la athari za corona

April 2, 2020

Tunisia imelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupasisha azimio juu ya athari za maambukizi ya virusi vya corona.

Mbali na muswada uliowasilishwa na Tunisia  ambayo ni mwanachama asiye wa kudumu wa Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa, nchi hiyo pia imelitaka baraza hilo lieleze wasiwasi wake kuhusiana na maambukizi ya virusi vya corona na athari zake mbaya za kiuchumi na kwa usalama wa chakula kote duniani kutokana na vikwazo vya kazi, safari na biashara na kusimamishwa kazi viwandani.

Muswada huo uliowasilishwa na Tunsia unaoana na matakwa ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Gutrres kuhusiana na udharura wa kusimamishwa vita mara moja kote duniani kutokana na masuala ya kibiandamu. Inatazamiwa pia kuwa, Russia pia itatoa pendekezo la kufutwa vikwazo vyote kwa shabaha ya kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona.

Muswada huo hautapasishwa iwapo hautaungwa mkono na Marekani na nchi za Ulaya. 

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuwa maambukizi ya sasa ya virusi vya corona ndiyo mgogoro mkubwa zaidi duniani tangu baada ya vita vya Pili vya Dunia. Guterres ametahadharisha kuwa uhai wa mamilioni ya watu umo hatarini kutokana na kasi ya maambukizi ya virusi hivyo. 

Katibu  Mkuu wa UN, Antonio Guterres

Zaidi ya watu 950,430 wameambukizwa virusi vya corona kote dunia na wengine zaidi ya 48,276 wameaga dunia kutokana na virusi hivyo.

www.mzunguko.com

Muswada huo hautapasishwa iwapo hautaungwa mkono na Marekani na nchi za Ulaya. 

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuwa maambukizi ya sasa ya virusi vya corona ndiyo mgogoro mkubwa zaidi duniani tangu baada ya vita vya Pili vya Dunia. Guterres ametahadharisha kuwa uhai wa mamilioni ya watu umo hatarini kutokana na kasi ya maambukizi ya virusi hivyo. 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon