Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

"Mwalimu" Julius Nyerere, Rais wa kwanza na "Baba wa Taifa" wa Tanzania-1922

April 13, 2019

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere  alizaliwa (Butiama, mkoani Mara, pembezoni mwa Ziwa Nyanza, 13 Aprili 1922,

 

 

alikuwa rais wa kwanza wa Tanzania, na mara nyingi anatajwa kama "baba wa taifa" kuliko yeyote yule.

Ndiye mwasisi wa itikadi ya ujamaa na kujitegemea iliyotangazwa hasa katika Azimio la Arusha.

 

Kabla ya kuingia kwenye siasa alikuwa ni mwalimu. Kazi hiyo ndiyo iliyompatia jina ambalo lilimkaa maisha yake yote la "Mwalimu."

 

www.mzunguko.com

 

 

www.mzunguko.com

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload