Wangari Maathai, mwanasiasa kutoka Kenya na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 2004-1940

April 1, 2019

Wangari Maathai akipokea tuzo kutoka Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu ya Kenya.

 

leo ni kumbukumbu ya Wangari Muta Maathai  aliyezaliwa 1 Aprili 1940, alikuwa mwanaharakati wa masuala ya mazingira na haki za wanawake kutoka nchini Kenya.Mwaka wa 2004 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani

Yeye ni mwanamke Mwafrika wa kwanza kupokea tuzo ya Nobel ya Amani.

 Pia, aliwahi kuwa mbunge wa Kenya na waziri msaidizi katika serikali ya Mwai Kibaki kati ya Januari 2003 hadi Novemba 2005.

Katika maandalizi ya uchaguzi wa 2007 Maathai alisimama upande wa rais Kibaki lakini hakuteuliwa na chama cha PNU

 ikibidi agombee kupitia chama cha Mazingira Green Party lakini hakurudi bungeni.

 

www.mzunguko.com

 

 

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon