Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Leo ni Kumbukumbu ya mauaji ya watu weusi Afrika Kusini [Mauaji ya Sharpeville]-1960

March 21, 2019

Afrika Kusini inakumbuka miaka 50 tangu kutokea mauaji ya Sharpeville, yaliyofanya dunia kutambua mateso waliyokuwa wakipata watu weusi enzi za utawala wa ubaguzi wa rangi na kuanzisha harakati za ukombozi.

 

Watu 69 waliuawa tarehe 21 Machi 1960, wakati polisi walipowapiga risasi watu wasiokuwa na silaha wakiandamana kupinga sheria za ubaguzi wa rangi.

Waliokufa kwenye mauaji hayo ya sharpeville  nchini Afria Kusini wanakumbukwa  mpaka leo kama sehemu ya siku ya haki za binadamu, kwa ibada makanisani.

 Wakosoaji wanasema watu wanaoishi katika makazi hayo, bado wapo katika mazingira duni na umasikini.

 www.mzuguko,com

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload