Kumbukumbu ya kifo cha John Damiano Komba, mwanasiasa kutoka Tanzania-2015


John Damiano Komba alifariki tarehe 28 Februari 2015 alikuwa mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika bunge la kitaifa nchini Tanzania.

Alitokea katika Chama cha Mapinduzi (CCM). Alikuwa pia mwimbaji maarufu

www.mzunguko.com


Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Jiunge nasi :

Usipitwe na kitu