Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Wanafunzi wa chuo kikuu cha Dhaka (Bangladesh) wanafanya maandamano kwa ajili ya lugha ya Bangla-1952

February 21, 2019

 Mnamo tarehe 21 februari mwaka 1952 Wanafunzi wa chuo kikuu cha Dhaka (Bangladesh) wanafanya maandamano kwa ajili ya lugha ya Bangla na wengine wao wanauawa na polisi kwa kupigwa risasi

lugha ya Bangla ni lugha ya Asia ya Kusini inayojadiliwa katika Bangladesh na India. Jumla ya wasemaji ni takriban milioni 230.

 

Ni lugha ya taifa ya Bangladesh na upande wa Uhindi ni lugha ya jimbo ya Bengali Magharibi.Kati ya lugha za Uhindi zenye wasemaji wengi ni lugha ya pili. Inahesabiwa pia  kuwa lugha ya dunia yenye wasemaji wengi ya tano au sita.

 Bangladeshi ni nchi ya asia ya kusini imepakana na Uhindi pande zote barani isippokuwa mpaka mfupi wa km 193 na Myanmar upande wa kusini-mashariki na pwani ya ghuba ya Bengali.

 

www.mzunguko.com

 

 

 

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload