John Glenn anazunguka dunia katika chombo cha angani akiwa Mmarekani wa kwanza kufanya hivyo-1962

February 20, 2019

 

alikuwa  Mwana anga wa zamani John Glenn, ambaye alikuwa Mmarekani wa kwanza kuizunguka dunia kupitia mzingo wa dunia

 

mnamo  tarehe 20 Februari mwaka 1962 Glenn alizunguka dunia   akiwa na chombo cha anga za juu cha Friendship 7.

Glenn akijiandaa kwa safari yake ya kuizunguka dunia

 Aliporejea duniani, Glenn alichaguliwa seneta wa chama cha Democratic mwaka 1974, ambapo alihudumu kwa miaka 24.

 Mwaka 1998, miaka 36 baada ya safari yake ya kihistoria anga za juu, aliandika historia tena kwa kuwa mtu mzee zaidi kwenda anga za juu, akiwa na miaka 77

 

Ufanisi wake uliashiria wakati ambao Marekani iliufikia Muungano wa Usovieti katika kutumma binadamu anga za juu

 John Herschel Glenn Jr.  alifariki mnamo   December 8, 2016, Glenn alikuwa amelazwa hospitalini Columbus, Ohio, kwa zaidi ya wiki moja na alifariki akiwa amezingirwa na wanawe na mke wa miaka 73.

 Rais Barack Obama katika mazishi yake aliongoza  Wamarekani kutoa heshima zao kwa Glenn, ambapo alitaja  kama "rafiki aliyewatoka''

 

www.mzunguko.com

 

 

 

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon