Nchi ya Chile inatangaza uhuru wake kutoka Hispania-1818

Chile ni nchi ya Amerika Kusini.Eneo lake ni kama kanda ndefu nyembamba kati ya safu za milima ya Andes na Bahari ya Pasifiki.

Tarehe 12 February mwaka 1818 Nchile ya chile inatangaza uhuru wake kutoka Hispania.

Wakazi wengi (85%) wanaishi mijini. Utafiti juu ya DNAyao unaonyesha kwa asilimia 52% hivi ina asili ya Ulaya, 43% ni ya Kiindio na 5% ni kutoka Afrika. Kwa jumla, wengi wana mchanganyiko wa damu.

Lugha rasmi na ya kawaida ni Kihispania.

Upande wa dini, 66.6% ni Wakatoliki na 17% ni Waprotestanti. Asilimia 12.4 haina dini yoyote.

www.mzunguko.com


Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Jiunge nasi :

Usipitwe na kitu