Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Katika uchaguzi wa mwaka 2007 alikuwa mgombea wa urais upande wa (ODM)-Raila Amolo Odinga

February 7, 2019

Raila Amolo Odinga  amezaliwa tarehe 7 Januari 1945 ni mwanasiasa wa upinzani nchini Kenya na tangu 13 Aprili 2008 alikuwa waziri mkuu nchini humo hadi 2013. Aliwahi kuwa mbunge tangu 1992 na waziri katika serikali ya rais Mwai Kibaki kati ya 2001 hadi 2005.

 Katika uchaguzi wa mwaka 2007 alikuwa mgombea wa urais upande wa Orange Democratic Movement (ODM). Ajulikana kote Kenya kwa jina la la kwanza Raila. Waluo wenzake hupenda kumwita "Agwambo"

 

www.mzunguko.com

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload