Idd Amin anafanya mapinduzi ya kijeshi ya kumuondoa Raisi Milton Obote wa Uganda-1971

Mwaka 1971 tarehe 2 Februari Idd Amin Dada anafanya mapinduzi na kumpindua Miltoni Obote na kuwa Raisi wa Uganda.

Idd Amin Dada Oumee alikuwa Mwanasiasa na mkuu wa majeshi nchini Uganda. Alikuwa Rais wa Uganda kuanzia mwaka 1971 mpaka 1979. Idd Amini alikuwa kiongozi aliyefuata mfumo wa kidikteta katika kuiyongoza nchini ya Uganda.

Amin alijiunga na Jeshi la Mwingereza la King's African Rifles (KAR), mwaka 1946 kama msaidizi wa mpishi. Baadae alidai mwenyewe kuwa alilazimishwa kuingia jeshini wakati wa vita kuu ya pili ya dunia World War II na aliwahi kupelekwa Burma.

www.mzunguko.com


Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Jiunge nasi :

Usipitwe na kitu