Idd Amin anafanya mapinduzi ya kijeshi ya kumuondoa Raisi Milton Obote wa Uganda-1971

February 2, 2019

 

Mwaka 1971 tarehe 2 Februari Idd Amin  Dada anafanya mapinduzi  na kumpindua Miltoni Obote na kuwa Raisi wa Uganda.

 

Idd Amin Dada Oumee alikuwa   Mwanasiasa  na mkuu wa majeshi nchini Uganda. Alikuwa  Rais wa  Uganda kuanzia mwaka 1971 mpaka 1979. Idd Amini alikuwa kiongozi aliyefuata mfumo wa kidikteta katika kuiyongoza nchini ya Uganda.

 

Amin alijiunga na Jeshi la Mwingereza la King's African Rifles (KAR), mwaka 1946 kama msaidizi wa mpishi. Baadae alidai mwenyewe kuwa alilazimishwa kuingia jeshini wakati wa vita kuu ya pili ya dunia World War II na aliwahi kupelekwa Burma.

 www.mzunguko.com

 

 

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon