Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 29.01.2019: Cahill, Chilwell, Mane, Soler

January 29, 2019

Manchester City wanampango wa kumsajili beki wa Leicester raia wa Uingereza Ben Chilwell, 22, mwishoni mwa msimu.

Ben Chilwell

Arsenal wanataka kumsajili beki mkongwe wa Chelsea na mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya England Gary Cahill, 33, ili kukabiliana na changamoto ya majeruhi inayoikabili safu yake ya ulinzi.

Gary Cahill, 33

 

Tottenham wanapanga kumsajili kiungo raia wa Uhispania anayecheza klabu ya Valencia Carlos Soler, 22, mwishoni mwa msimu.

Carlos Soler

Mchezaji nyota wa Liverpool na timu ya taifa ya Senegal Sadio Mane, 26, amesema kwa sasa Liverpool ndiyo kipaumbele chake, akionekana kupuuzia taarifa kuwa anataka kujiunga na Real Madrid.

Sadio Mane

 

www.mzunguko.com

 

 

 

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon