Alikuwa Kaimu Rais wa Marekani-Nelson Rockefeller [1979 alifariki]


Nelson Aldrich Rockefeller ( alifariki tarehe 26 Januari, 1979) alikuwa mwanasiasa wa Marekani.

Kuanzia mwaka wa 1959 hadi 1973 alikuwa gavana wa jimbo la New York. Halafu alikuwa Kaimu Rais wa Marekani chini ya Rais Gerald Ford kuanzia mwaka wa 1974 hadi 1977.

www.mzunguko.com


Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Jiunge nasi :

Usipitwe na kitu