Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Alikuwa Kaimu Rais wa Marekani-Nelson Rockefeller [1979 alifariki]

January 26, 2019

Nelson Aldrich Rockefeller ( alifariki tarehe  26 Januari, 1979) alikuwa mwanasiasa wa Marekani.

 Kuanzia mwaka wa 1959 hadi 1973 alikuwa gavana wa jimbo la New York. Halafu alikuwa Kaimu Rais wa Marekani chini ya Rais Gerald Ford kuanzia mwaka wa 1974 hadi 1977.

 

www.mzunguko.com

 

 

 

 

 

 

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload