Panther (kibwagizo)

January 25, 2019

Panther ni jina la  albamu ya kibwagizo cha filamu ya mwaka wa 1995, Panther. Ilitolewa mnamo tarehe 2 Mei, 1995 kupitia Mercury Records na huhesabiwa kama mchanganyiko wa muziki wa hip hop na R&B.

 

huku matayarisho yake yakifanywa na baadhi ya majina makubwa ya utayarishaji wa muziki huo ikiwa pamoja na Dallas Austin na Teddy Riley.

 Kibwagizo hiki kilifikia nafasi ya 37 kwenye chati za Billboard 200 na 5 kwenye Top R&B Albums na ilitunukiwa dhahabu mnamo Julai 25, 1995.

Nyimbo tatu ziliingia katika chati za Billboard, "Head Nod" ya Hodge, "The Points", ushirikiano baina ya wasanii 12 maarufu wa hip-hop, na "Freedom (wimbo kutoka katika Panther)", ushirikiano baina ya waimbaji wanawake wa R&B na Hip-hop zaidi ya 60.

 

www.mzunguko.com

 

 

 

 

 

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon