alipinga aina zote za ukoloni na kumzumgumzia Chistopher Columbas kama muongo-Joseph Hill

January 22, 2019

Falsafa ya nyimbo ya Joseph Hill ni ya kimapinduzi na kiroho inayopinga utumwa na ukosefu wa maadili na ucha mungu.

Joseph Hill ni muumini wa imani na utamaduni wa Kirastafari. Katika wimbo wake wa  PAY DAY anauliza ni lini watu walioumizwa na utumwa watalipwa.

Joseph Hill (alizaliwa tarehe 22 Januari  mwaka 1949) alikuwa mtunzi na mwimbaji wa Reggae toka nchini Jamaika.

 Alianza muziki katika kundi lijulikanalo kama The Soul Defender lililokuwa na makazi yake kitongoji cha St Catherine.

Joseph Hill amepinga aina zote za ukoloni na kumzumgumzia Chistopher Columbas kama muongo kwa kusema kwamba amegundua visiwa vya Jamaika ambavyo vilikuwapo tayari na watu.

 Joseph Hill pia anaenzi kitabu  cha Bibilia anachoamini kuwa ni kitakatifu na amekuwa akitumia mistari na manabii toka kwenye Biblia kwenye nyimbo zake, kwa mfano wimbo wake kuhusu nabii Eliya.

 

 

 www.mzunguko.com

 

 

 

 

 

 

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon