Vichwa vya hadithi zilizomo vinagusia maswala ya Ubatizo,wauaji, ulafi na unyanyasaji.

January 22, 2019

A Good Man Is Hard to Find and Other Stories ni mkusanyiko wa Hadithi Fupi za mhariri wa Marekani Flannery O'Connor.

 Kitabu hiki klichapishwa nchini Uingereza kwa jina Artificial Nigger and Other Tales. Mkusanyiko huu ulichapishwa mara ya kwanza mnamo 1955.

 Vichwa vya hadithi zilizomo vinagusia maswala ya Ubatizo ("The River") na hata wauaji wa muda mrefu ("A Good Man Is Hard to Find"), ulafi wa kibinadamu na unyanyasaji ("The Life You Save May Be Your Own").

 

www.mzunguko.com

 

 

 

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon