Waziri Mkuu wa kwanza wa Australia aliyejenga na kuboresha Australia ya leo.


Tarehe 18 janury 1849 anazaliwa sir Edmund Barton, Waziri Mkuu wa kwanza wa Australia

Sir Edmund Barton alikuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa Australia. Yeye ndiye alichukua sehemu kubwa ya kuijenga na kuuiboresha Australia ya leo.

Wakati wa uongozi wake katika serikali hiyo, ilipitisha sheria ya mtu asiye mweupe kuingia nchini humo na hata kutowataka wakina mama kushiriki kupiga kura katika uchaguzi wowote utakaofanyika nchini humo.

Baada ya kuwa Waziri Mkuu, akaja kuwa jaji mkuu wa nchi katika mahakama kuu.

Mwaka wa 1902, Barton alipewa cheo cha "Sir" cha Uingereza baada ya kukataa cheo hicho miaka ya 1887, 1891 na 1899.

www.mzunguko.com


Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Jiunge nasi :

Usipitwe na kitu