Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Michelle Obama, mke wa rais wa Marekani tangu 2009-1964

January 17, 2019

Michelle LaVaughn Obama (jina la kuzaliwa ni Michelle LaVaughn Robinson, amezaliwa mnamo tar. 17 Januari 1964) ni Mwanasheria wa Kimarekani na ndiyo mke wa Rais wa Marekani Bw. Barack Obama.

Michelle alizaliwa na kukulia kitongoji South Side ya Chicago na kusoma hadi kuelekea katika Chuo Kikuu cha Princetonhalafu baadaye katika Kitivo cha Sheria cha Harvard.

Michelle Obama ni dada wa Craig Robinson, kocha wa mpira wa kikapu wa Oregon State University.

 Alikutana na Barack pale alipojiunga na Sidley Austin. Pale Barack Obama alipochaguliwa kuwa kama Seneta, familia ya Obama ikachagua kuishi mjini Chicago South Side kuliko kuishi mjini Washington, D.C.

 

www.mzunguko.com

 

 

 

 

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload