Mchungaji Mwafrika na mwanaharakati mashuhuri kutoka nchi ya Marekani aliyepigania haki za binadamu.

January 15, 2019

Dr Martini Luther King,Junior Alizaliwa Tarehe Atlanta,Georgia,15 alikuwa Mkristo mwenye asili ya Afrika.

 

mchungaji wa Kibaptisti na mwanaharakati mashuhuri kutoka nchi ya Marekani aliyepigania haki za binadamu, hasa Wanegro, wakati nchi hiyo ilipokuwa bado na sheria za ubaguzi wa rangi.

Baadhi ya madhehebu ya Marekani, hasa Waanglikana na Walutheri, yanamheshimu kama mtakatifu mfiadini.

 

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe yake ya kuzaliwa au ya kuuawa

 

Aliwaongoza Waamerika Weusi kupinga ubaguzi wa rangi uliokuwepo katika sehemu za USA mpaka miaka ya 1960.

 

Katika mapambano hayo alifuata mapokeo ya Mt. Agostino katika Kanisa. Alieleza ya kuwa kila mtu amepewa na Mungu heshima yake, hivyo sheria za nchi na serikali zinazovunja heshima hiyo si  haki. "Imetupasa kumtii Mungu kuliko wanadamu" (Mdo. 5:29).

 

www.mzunguko.com

 

 

 

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon