Daktari na mwuuaji mfululizo wa Kiingereza [Harold Shipman]-1946


Harold Shipman alizaliwa Tarehe 14 Januari 1946 alikuwa daktari na mwuuaji mfululizo wa Kiingereza.

Anafikiriwa kuwa ameua takriban watu 250 ambao wote ni wagonjwa wake.

Matukio yake

Alipelekwa mahakamani na akakutanika kuwa na makosa ya kuua watu wapatao 15, na baada ya uchunguzi kufanyika akakutanika tena kusababusha vifo vya watu wapatao 235.

Alikuwa akipendelea sana kuua watu kwa kutumia nusu kaputi. Wagonjwa aliowaua wengi walikuwa vibibi vizee.

Kifo chake

Wakati alivyokuwa jela, alijiua. Wengi walifurahia baada ya kusikia hayo na hata kuthubutu kusema kwamba, huo ndiyo mfano wa kuigwa kwa wauaji wa mfululizo.

Tukio hilo halikuwafurahisha ndugu wa watu waliouliwa ndugu zao na kufikiria kwamba serikali inawadanganya juu ya tukio hilo.

Shipman alijinyonga na shuka wakati wa usiku wa kuamkia siku yake ya kuzaliwa, yaani ilikuwa saa sita na dakika ishirini ya kuamkia tarehe 14 Januari ya mwaka wa 2004.

Alikutanika na mhudumu wa gerezani na kuanza kutoka taarifa kwamba, Shipman amejinyonga katika nondo za dirisha kwa kutumia shuka la kulalia.

www.mzunguko.com


Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Jiunge nasi :

Usipitwe na kitu