Zilda Arns, daktari wa watoto kutoka Brazil-2010


Zilda Arns Neumann alifariki tarehe 12 Januari 2010 alikuwa daktari wa watoto na mfanyakazi wa misaada kutoka nchi ya Brazil.

Pia alikuwa mwanzilishi wa shirika la Pastoral da Criança (Kiswahili: Uangalizi wa Kichungaji wa Watoto).

Yeye alikufa baada ya tetemeko la ardhi nchini Haiti.

www.mzunguko.com


Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Jiunge nasi :

Usipitwe na kitu