mmoja wa Wayahudi maarufu waliokufa katika mauaji ya kimbari nchini Ujerumani-WWII


Annelies Marie Frank (alizaliwa tarehe , 12 Juni 1929 - na kufariki, Februari 1945) ni mmoja wa Wayahudi maarufu zaidi waliokufa katika mauaji ya kimbari yaliyofanywa na chama cha Nazi wakati wa Vita Kuu ya Dunia ya Pili

Kitabu chake cha kumbukumbu kinaonekana kuwa kitabu bora katika fasihi za vita, na ni kimojawapo kati ya vitabu vinavyosomwa sana siku hizi.

Vipindi na sinema kadhaa vimefanywa kupitia kitabu hicho

www.mzunguko.com


Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Jiunge nasi :

Usipitwe na kitu