Mpelelezi kutoka New Zealand na mtu wa kwanza kufika kileleni Mount Everest.

January 11, 2019

Edmund Hillary huko Antarctica

 Edmund Percival Hillary alifariki Tarehe 11 Januari 2008, alikuwa mpelelezi kutoka New Zealand aliyejulikana  kwa milima mingi aliyopanda.

Pamoja na sherpa Tenzing Norgay alikuwa mwanadamu wa kwanza wa kufika kwenye kilele cha Mlima Everest tarehe 29 Mei 1953.

Alijifunza kupanda milima tangu utoto wake kwao New Zealand.

 Alifanya kazi ya kufuga nyuki iliyomwezesha kutumia miezi ya majira ya baridi ya New Zealand kwa safari zake duniani.

Hillari alikuwa pia mtu wa kwanza aliyevuka bara la Antaktika kwa  trekta.

 

 

 

www.mzunguko.com

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon