Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Kufariki kwa Mwanasiasa mashuhuri na Rais wa ishirini na sita wa Marekani Theodore Roosevelt-1919

January 6, 2019

Theodore Roosevelt (27 Oktoba 1858 – 6 Januari 1919) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Marekani. Miaka ya 1901 hadi 1909 alikuwa Rais wa ishirini na sita wa Marekani.

Mwaka wa 1906 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.

 Alikuwa Kiongozi wa chama cha kisiasa cha kijamhuri na mwanzilishi wa chama cha kisiasa cha Progressive cha 1912 ambacho hakikudumu.

 

www.mzunguko.com

 

 

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload