Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Charles j. Guiteau anakutwa na hatia ya kumua rais wa Marekani James A. Garfield na kuhukumiwa kifo-1882

January 5, 2019

 Tarehe 5 januari mwaka 1882 Charles j. Guiteau anakutwa na hatia ya kumua Rais wa Marekani James A.Garfield na kuhukumiwa kifo kwa kunyongwa.

 James Abram Garfield (19 Novemba 1831 – 19 Septemba 1881) alikuwa Rais wa 20 wa Marekani kwa miezi michache tu mwaka wa 1881 hadi kifo chake. Kaimu Rais wake alikuwa Chester Arthur aliyemfuata kama Rais.

 www.mzunguko.com

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload