Kuzinduliwa kwa Jengo lenye kimo kikubwa duniani nchini Dubai-2010


Burj Khalifa as seen across The Dubai Fountain

Burj Khalifa ndilo jengo refu zaidi duniani Lina urefu wa mita 829 (ghorofa 163), nchini Dubai [Falme za Kiarabu]

lilizindulliwa na kukamilika Tarehe 4 januari mwaka 2010 na kuvunja rekodi yakuwa Ghorofa refu zaidi Duniani.[Burj Khalifa]

jengo hili lina urefu wa mita zinazofikia 830. Jengo hili.lina ghorofa zinazofikia 163.

ujenzi wa Burj Khalifa Tangu 2004-2008

Tangu mwaka 2004 jengo hili kubwa la maghorofa lilianza kujengwa nchini Dubai [falme za kiarabu]

2006-02-01

Burj Dubai ilitarajiwa kufungulia Septemba 2009. Mpango ambao ulikuwa bado ni siri lwa sababu wajenzi walitaka kuwa na uhakika ya kwamba litakuwa jengo kubwa duniani.

2006-08-29

Hivyo waliandaa kuongeza ghorofa kama jengo lingine litaendelea kujengwa popote duniani.

2006-11-11

kipindi hicho ilisemekana kuwa na ghorofa 162 na eneo la vyumba vyote ni 334,000 m².

2007-01-02

Ghorofa ya juu itaishia kwa mita 643 na antenna juu yake itafikia mita 818. Gharama zilipangwa kuwa bilioni za dolari 14.1.

2007-03-21

Ghorofa 37 za kwanza zitakuwa hoteli. Juu yake kuna makazi 779 katika ghorofa 38-108 na 700 yameshauzwa. Ghorofa za juu zitakuwa na ofisi na makazi maalumu

2007-05-07

Kutokana na ukubwa na urefu wake Burji khalifa ,husafishwa kwa wiki nane(8)

2007-07-15

Kihistoria Burj khalifa, ilijengwa kwa ajili ya kuliingizia taifa kipato baada ya mfalme wa falme za kiarabu wa wakati ule kuona hakuna kivutio cha watalii nchini humo.

2007-08-09

Akaamua lijengwe jengo refu kuliko yote ulimwenguni na wakalipa jina la, BURJ

2007-08-22

2008-03-11

www.mzunguko.com


Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Jiunge nasi :

Usipitwe na kitu