Spice Girls [Bendi ya mziki ya uingereza];Stop


Kundi limetoa albamu tatu: Spice mnamo mwaka wa 1996, Spice World mnamo mwaka wa 1997 na Forever mnamo mwaka wa 2000.

The Spice Girls pia wamecheza kwenye filamu ya Spiceworld: The Movie, ambayo ilitolewa mnamo mwezi wa Desemba katika mwaka wa 1997.

Wasichana hao watano walikuja kuungana tena hapo mnamo mwaka wa 2007 na kutangaza kwamba wafanya ziara ya kimataifa ambayo imeanza mwezi wa Desemba.

www.mzunguko.com


Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Jiunge nasi :

Usipitwe na kitu