Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Spice Girls [Bendi ya muziki ya Uingereza]

January 3, 2019

Spice Girls ni kundi maarufu la muziki wa pop kutoka nchini Uingereza. Kundi lilianzishwa mnamo mwaka wa 1994. Moja kati ya vibao vyao vikali ni pamoja na "Wannabe", "Spice Up Your Life" na "Stop"

 

Kundi zima linaundwa na mwanachama kama: Victoria Beckham ("Posh Spice"), Melanie Brown ("Scary Spice"), Emma Bunton ("Baby Spice"), Melanie Chisholm ("Sporty Spice") na Geri Halliwell ("Ginger Spice").

 

www.mzunguko.com

 

 

 

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload