video ya Sabata ya mwaka 1969


Maana ya neno Sabata "Hoya washkaji... huyo ni Sabata, mmekwisha!"ni filamu ya Spaghetti Western

Spaghetti Westerns ni aina ya filamu za Western zilizotolewa na studio za kiitalia kuanzia miaka ya 1960.

Awali lilikuwa jina la utani tu kutokana na chakula cha Kiitalia cha spaghetti lakini mtindo huu ulipendwa baadaye na watu wengi.

www.mzunguko.com


Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Jiunge nasi :

Usipitwe na kitu