video ya Sabata ya mwaka 1969

January 2, 2019

 Maana ya  neno Sabata "Hoya washkaji... huyo ni Sabata, mmekwisha!"ni filamu ya Spaghetti Western

 

Spaghetti Westerns  ni  aina ya filamu za Western zilizotolewa na studio za kiitalia kuanzia miaka ya 1960.

 

Awali lilikuwa jina la utani tu kutokana na chakula cha Kiitalia cha spaghetti lakini mtindo huu ulipendwa baadaye na watu wengi.

 

www.mzunguko.com

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon