Simulizi ya Filamu [Sabata] -1969

Sabata (kwa Kitaliano: Ehi amico .. kwa haraka-haraka inatafsrika kama "Hoya washkaji... huyo ni Sabata, mmekwisha!"), ni filamu ya Spaghetti Western iliyotolewa mnamo 1969.

Filamu iliongozwa na Gianfranco Parolini. Ni toleo la kwanza la Mfululizo wa Filamu za Sabata ziilizotengenezwa na Bw. Parolini, na kuchezwa na nyota Lee Van Cleef akiwa kama jina la picha

Kibwagizo cha filamu kinatoka kwenye wimbo wa mwaka 1957 ulioimbwa na Bw. Frankie Laine.

Muhtasari wa filamu

Sabata, ni mtu asiyeoongea sana akiwa na silaha mkononi, amewasili katika mji mdogo wa Texas kwenda kuzuia wizi wa benki, na kugundua kuwa mpango huo umepangwa na vigogo wa mjini hapo, ambao walitaka kuuza mji huo kwa ajili ya njia ya reli.

Sabata akamteka kiongozi wao, Stengel, ambaye baadaye alituma wahuni kadhaa kwenda kumwangamiza Sabata, mmoja kati ya wauaji hao alikuwemo Banjo,

aliitwa hivyo kwakuwa alikuwa akibeba kigizo chenye ala za muziki ambacho kilikuwa kimeficha bunduki ndani yake.

www.mzunguko.com


Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Jiunge nasi :

Usipitwe na kitu