Je wamjua mtu aliyebuni sarufi inayofaa kwa lugha zote

Noam Chomsky ni mtaalamu wa isimu (sayansi inayochunguza lugha) nchini Marekani.

Tangu 1955 amekuwa profesa kwenye chuo cha Massachusetts Institute of Technology (MIT).

Sarufi

Sarufi ni elimu ya kupanga maneno kwa ufasaha. Maelezo hayo yanaweza kutafsiriwa kwa namna mbili tofauti.

Kwanza, yanaweza kutafsiriwa kwa maana ya ufunzaji wa vipengele kama msamiati, utungaji wa sentensi, viashiria, vitenzi na kadhalika.

Hapa kuna mambo kama methali, hadithi, vitendawili, itikadi na kadhalika.

Tafsiri ya pili ya maelezo haya huchukua yote yafunzwayo katika lugha fulani.

Kama maelezo ya awali, sarufi ina vipengele tofauti tofauti. Ikiwa pamoja na kufunza maneno magumu, vitenzi, nyakati, matamshi, ngeli, vivumishi, majina, vielezi na viingizi.

Tena, sarufi ni tawi la isimu

Amekuwa maarufu kwa michango yake katika isimu na pia kama mwanaharakati aliyepigania mara nyingi siasa zisizolingana na serikali ya Marekani

www,mzunguko.com


Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Jiunge nasi :

Usipitwe na kitu