One hundred and one Dalmatians[Mijibwa Mia Moja na Moja] Filamu ya mwaka-1961

January 2, 2019

One Hundred and One Dalmatians (Kiswahili: Mijibwa Mia Moja na Moja) ni filamu ya katuni ya mwaka wa 1961 

 

-iliotayarishwa na Walt Disney na inatokana na kitabu cha Dodie Smith chenye jina sawa na hili la filamu hii.

 

Hii ni filamu ya kumi na saba kutolewa katika mfululizo wa filamu za Disney alimaarufu kama Walt Disney Animated Classics.

 

Filamu ilitolewa kwa mara ya kwanza mnamo tar. 25 Januari 1961.

 

www.mzunguko.com.

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon