Je wajua mwanamke wa kwanza kuendesha gari nchini Nigeria

January 1, 2019

Funmilayo Ransome-Kuti

 

 

Mkuu Funmilayo Ransome Kuti, ( alizaliwa tarehe  25 Oktoba 1900 – na kufariki 13 Aprili 1978) alikuwa mwalimu, mfanya kampeni za kisiasa, mwanaharakati wa kutetea haki za wanawake na kiongozi wa jadi nchini Nigeria.

Alikuwa mwanamke kiongozi maarufu sana kipindi chake, alikuwa mwanamke wa kwanza kuendesha gari nchini Nigeria

 

www.mzunguko.com

 

 

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon