Kumbukumbu ya kifo cha Hayati Rashidi Kawawa, waziri mkuu wa Tanzania

Rashidi Mfaume Kawawa (alizaliwa 27 Mei 1926 - na kufariki tarehe 31 Desemba 2009), alikuwa mwanasiasa kutoka nchini Tanzania. Kuanzia tarehe 22 Januari 1962 hadi tarehe 13 Februari1977 alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Alifuatwa na Edward Sokoine. Baadaye alikuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi.

Rashidi Mfaume Kawawa alizaliwa katika kijiji cha Matepwende, Wilaya ya Songea, Mkoani Ruvuma,

Alianza elimu ya msingi huko Liwale, Lindi mnamo 1941 - 1942 na kuendelea na masomo ya sekondari katika shule ya Dar es Salaam Secondary School.

www.mzunguko.com


Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Jiunge nasi :

Usipitwe na kitu