Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Kodi ya madirisha inaanzishwa Uingereza-1695

December 31, 2018

 [Tarehe 31 mwezi wa 12  mwaka 1695 kodi ya madirisha nchini Uingereza  inaanzishwa na kuleta hali ya hofu nchin humo

 

Kodi ya madirisha inaanzishwa Uingereza; wenye nyumba wengi wanafunga madirisha kwa matofali ili kuepukana na kodi hiyo.

 Bendera ya Uingereza

Uingereza (pia: Ingilandi, England) ni nchi kubwa ndani ya Ufalme wa Muungano yenye wakazi milioni 50 au 83% ya wakazi wa Ufalme wote na eneo lake ni theluthi mbili ya kisiwa cha Britania..

 

 

www.mzunguko.com

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload