Simulizi ya filamu ya Alvin and the Chipmunks ya mwaka 2007


Alvin and the Chipmunks ni filamu ya vichekesho-muziki ya mwaka wa 2007 kutoka nchini Marekani.

Filamu inachanganya wahusika, live-action, yaani, wahusika binadamu na CGI, yaani, vikatuni. Filamu ipo katika kipindi cha msimu wa siku-kuu za mwishoni mwa mwaka.

www.mzunguko.com


Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Jiunge nasi :

Usipitwe na kitu