Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Simulizi ya filamu ya Alvin and the Chipmunks ya mwaka 2007

December 29, 2018

Alvin and the Chipmunks ni filamu ya vichekesho-muziki ya mwaka wa 2007 kutoka nchini Marekani.

 

Filamu inachanganya wahusika, live-action, yaani, wahusika binadamu na CGI, yaani, vikatuni. Filamu ipo katika kipindi cha msimu wa siku-kuu za mwishoni mwa mwaka.

 

www.mzunguko.com

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload