Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

mvumbuzi aliyebuni alfabeti ya Braille, ambayo huwasaidia watu wasioona kuweza kusoma-Mfaransa

December 26, 2018

Louis Braille (alizaliwa tarehe , 4 Januari 1809 -  na kufariki  tarehe 6 Januari 1852)

 

alikuwa mvumbuzi wa Ufaransa aliyebuni alfabeti ya Braille, ambayo huwasaidia watu wasioona kuweza kusoma.

 Braille husomwa na vipofu kwa kupitisha vidole juu ya karatasi.

Alichomwa kwa bahati mbaya na msharasi kwenye jicho lake moja wakati akiwa kwenye duka la baba yake

 kulikuwa hakuna antibaotiki, na jicho lake liliathrika.

Ambukizo hilo lilisambaa kwenye jicho lake lingine na mwishowe akawa ameathirika macho yote mawili, hivyo kuwa kipofu.

Braille alikufa huko Paris akiwa na umri wa miaka 43 kwa kupatwa na kifua kikuu

 

www.mzunguko.com

 

 

 

 

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload