Mmarekani mwenye asili ya Afrika ambaye ni mwanzilishi wa vilainishi ili kufanya treni kwenda vyema.


Elijah McCoy

Elijah J. McCoy (Mei 2, 1844 - Oktoba 10, 1929) Alizaliwa huko Colchester, Ontario, akafa huko Detroit, Michigan.

Eliya J. McCoy alizaliwa huru mwaka 1843 au 1844 huko Colchester, Ontario, Canada kwa George na Mildred (Goins)McCoy

Walikuwa watumwa wakimbizi ambao waliokoka kutoka Kentucky kwenda Canada kupitia wasaidizi kwa njia ya reli ya chini ya ardhi.

George na Mildred waliwasili katika mji wa Colchester, Essex, Ontario, Canada mwaka 1837 kupitia Detroit. Elija McCoy alikuwa na ndugu kumi na moja. Watoto kumi walizaliwa huko Canada kutoka kwa Alfred (1839) hadi William (1859)

www.mzunguko.com


Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Jiunge nasi :

Usipitwe na kitu