Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Mwitalia aliyeanzisha matumizi ya simu toka mwaka 1871 huko Marekani

December 24, 2018

 

Antonio Meucci (Italia, alizaliwa 13 Aprili 1808 – New York, Marekani,  na kufariki 18 Oktoba 1889)

 alikuwa Mwitalia aliyeanzisha matumizi ya simu toka mwaka 1871 huko Marekani, kabla ya Alexander Graham Bell kujitambulisha serikalini mwaka 1876 kama mgunduzi wa njia hiyo ya mawasiliano anga 

 

www.mzunguko.com

 

 

 

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload