Tetesi za Soka Ulaya Jumapili 23.12.2018: Ozil, Sancho, Rashford, Fekir, Pochettino

December 23, 2018

Klabu ya Uturuki ya Istanbul Basaksehir huenda ikatoa ofa kwa mchezaji wa Arsenal Mesut Ozil, 30. Rais wa kalabu hiyo alisema watafanya kila wawezalo kumpata 

Real Madrid, Barcelona na Bayern Munich wote wanammzea mate mshambuliaji wa miaka 18 raia wa England Jadon Sancho, ambaye kwa sasa yuko Borussia Dortmund.

 Barcelona wako tayari kutangaza ofa ya kumsainia mshambuliaji wa England Marcus Rashford huku Real Madrid nao wakimzea mate mchezaji huyo mwenye miaka 21

 

Meneja wa Tottenham Mauricio Pochettino anasema ana uhusiano mzuri na mwenyekiti Daniel Levy. Raia huyo wa Argentina anahusishwa na nafasi iliyo wazi ya umeneja huko Manchester United.

 Jose Mourinho anaamini alikuwa anaenda kuzungumzia sera za kununua wachezaji kwenye mkutano ambao ulimfuta kama meneja wa Manchester United

 

Kiungo wa kati wa Chelsea Dennis Wise anasea klabu hiyo itajaribu kumsaini aidha mshambualiaji wa Leicester Jamie Vardy, 31, au straika wa Bayern Munich Robert Lewandowski, 30, mwezi Januari

 Meneja wa Leicester Claude Puel anasema hana lingine la kuthibitisha baada ya kikosi chake kuishinda Chelsea licha ya uvumi kuwa anajaribu kufutwa

 

www.mzunguko.com

 

 

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon