Mwandishi hodari kutoka marekani aliyejulikana kwa riwaya yake ya''zabibu za Hasira''

December 20, 2018

                                      John Steinbeck

 

John Ernest Steinbeck  alifariki tarehe 20 Desemba  mwaka 1968 alikuwa mwandishi hodari kutoka nchi ya Marekani.

 Alijulikana  kwa riwaya yake iliyoitwa “Zabibu za Hasira” (kwa Kiingereza: Grapes of Wrath) iliyotolewa mwaka wa 1939; 

 akatuzwa Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya hiyo mwaka wa 1940. Mwaka wa 1962 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

 

Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi ni aina moja ya Tuzo za Pulitzer ambazo hutolewa kila mwaka nchini Marekani.

 

Ni miongoni mwa aina za asili zilizotolewa kuanzia 1917 ambapo iliitwa Tuzo ya Pulitzer ya Riwaya (hadi 1947).

 

Tuzo ya Bunilizi humheshimu mwandishi Mwarekani aliyetoa andiko la bunilizi katika mwaka uliopita.

 

Kuanzia mwaka 1980, wagombea watatu wa mwisho walikuwa hutangazwa, yaani mshindi mkuu pamoja na mshindi wa pili na wa tatu

 

  John Steinbeck aliandika vitabu  27. Ambavyo 17 viliwahi kutumika kwenye filamu

 

www.mzuguko.com

 

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon