Je wajua hisia ni mihemko ambayo binadamu na wanyama hujisikia moyoni na huathiri mwili kupitia ubongo.

December 19, 2018

kadiri ya saikolojia hisia zinaweza  kuwa za pendo,hamu,furaha au kinyume chake mfano hisia za chuki, woga, hasira, huzuni na nyingine nyingi.

 Hisia zinaitwa pia maono

 

Maono  ni hali inayompata binadamu au mnyama kwa ndani, lakini inajitokeza kwa nje (inaonekana).

 

Ni tofauti na hali ya makusudi, kwa kuwa inasababishwa na jambo fulani.

 Ndiyo maana katika Kiingereza linaitwa passionneno la mkopo kutoka lile la Kilatini passio linalotokana na kitenzi patior (kupatwa).

 Maono yapo ya aina  mbalimbali, lakini yale ya msingi ni: upande mmoja pendo (kwa jambo fulani), linalosababisha hamu (ya jambo hilo) na

hatimaye furaha (jambo likipatikana);

 upande mwingine chuki (kwa jambo fulani), linalosababisha hofu (ya jambo hilo), hasira (dhidi ya hilo) na

hatimaye huzuni (jambo likipatikana)

 

www.mzunguko.com

 

.

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon