Daktari kutoka nchini Marekani aliyechunguza virusi vinavyosababisha kansa. Mwaka wa 1975,

December 10, 2018

[siku kama ya leo tarehe 10 mwezi wa 12  mwaka 1934 alizaliwa Daktari Howard Temin]

Howard Martin Temin [10 Desemba 1934 ] alikuwa daktari kutoka nchi ya Marekani.

Hasa alichunguza virusi vinavyosababisha kansa. Mwaka wa 1975, pamoja na David Baltimore na Renato Dulbecco alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba

 TUZO YA NOBEL YA TIBA

Tuzo ya Nobel ni tuzo ya fedha kwa ajili ya mafanikio ya pekee katika fani ya tiba. Ilianzishwa na Alfred Nobel

 www.mzunguko.com

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon