Bunge la katiba india linakutana kwa mara ya kwanza kuandika katiba ya nchi hiyo

December 9, 2018

 muhuri wa bunge la katiba nchini india

 

Mwaka 1946  tarehe 9 mwezi wa 12 bunge la katiba  nchini india lililochaguliwa kwa ajili ya kuunda katiba ya  nchi hiyo linakutana kwa mara ya kwanza na kufanya kikao cha  mchakato  wa katiba ya kwanza ya india  

 

 tukio lililopelekea nchi hiyo kupata uhuru mwaka 1947 kutoka kwa mwingereza. Na wanachama katika bunge la katiba wakawa viongozi wa kwanza katika taifa hilo kulitumikia bunge la india lililoundwa baada ya kupata uhuru

 

www.mzunguko.com

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon